Sunday, February 9, 2014

NEWZ....LICHA YA MANENO MACHAFU, STARLISHA "CHAGGA BARBIE" ARUDISHA MAJESHI KWA PREZZO...JIONEE KAULI YAKE HAPA...!

Pamoja na matusi yote ambayo alishambuliwa na kudhalilishwa Msanii Prezzo na mpenzi wake Starlisha Tillya al-maarufu CHAGGA BARBIE  still ule msemo wa wagombanao ndio wapatanao ulishika nafasi yake baada ya mwanadada wa Kitanzania ambaye anaishi Marekani ameshindwa kumsahau mfalme mswati Prezzo nakuamua kupost picha ambayo aliandika na maneno kadhaa ambayo yalidhihilisha kuwa wamerudiana kama inavyoonekana hapo chini katika picha; 

0 comments:

Post a Comment